Rasi Jakaya Kikwete na ameanza leo ziara ya siku mbili Nchini Boswana, Pichani Rais Kikwete akiwa na Mwenyeji Rais wa Bostwana Luteni generali Seretse Khama Ian Khama wakiangalia ngoma maarufu ya ya Makhirikhiri kutoka kwa kikundi cha Ngoma cha nchini humo
Rais
Jakaya Kikwete akiwa nchini humo pia atahudhuria sherehe za miaka 50 ya
Chama Tawala cha Botswana cha Democratic Party. Rais Kikwete
akipokelewa na mwenyeji wake Rais Luteni Generali Seretse Khama Ian
Khama na kuongozana nae kuelekea Ikulu.
Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la heshima alililoandaliwa na mwenyeji wake mara baada ya kuwasili nchini humo leo.
Wananchi wa Botswana wakishangilia
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi wa Botswana.Picha Na Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)