Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mmoja wa wakazi wa
Longido ngombe watano na mbuzi katika sherehe ambayo jumla ya kaya 16
zilikabidhiwa ngombe na mbuzi baadaya kuathirika na janga la kiangazi
ambapo baadhi wakazi wa wilaya za Longido,Ngorongoro na Monduli
walipoteza mifugo yao yote.Katika zoezi hilo serikali imetoa jumla ya
ngombe zaidi ya 25,000 na zaidi ya mbuzi 15,000 ili kuzisaidia familia
hizo kuanza tena maisha yao yanayotegemea sana mifugo.Sherehe za
makabidhiano hayo zimefanyika wilayani Longido, mkoani Arusha leo(picha
na Freddy maro).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)