Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Masuala ya Afrika, Johnnie Carson (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, wakisaini makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo baina ya Marekani na Tanzania - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Masuala ya Afrika, Johnnie Carson (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, wakisaini makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo baina ya Marekani na Tanzania

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Masuala ya Afrika, Johnnie Carson (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, wakisaini makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo baina ya Marekani na Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi. (Picha kwa Hisani ya Ubalozi wa Marekani).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages