Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza (wa pili kulia) akipewa maelezo ya jinsi ya kuanika kahawa iliyokwishakobolewa kutoka kwa kiongozi wa kikundi cha wakulima wadogo alipofanya ziara wilayani Mbozi, mkoani Mbeya.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)