Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa
msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule
ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo
umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps
Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.(Picha na
www.burudan.blogspot.com)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)