Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal, akisalimiana na mfanyakazi wa kujitolea kutoka nchini Ujerumani, Liza Gernemann,
aliyembeba mtoto William anaelelewa na Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Katandala, Sumbawanga wakati alipofika katika kituo
hicho kukabidhi tangi la kuhifadhia maji la lita 5,000.( Picha na Muhidin Sufiani-OMR).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)