Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda
cha Nyama cha Saafi baada ya kuwasili kwenye kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya
Sumbawanga jana Februari 22, 2012, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na
Rukwa. Kiwanda hicho kinamilikiwa na mzawa Mtanzania, Dkt. Mzindakaya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu matayarisho na ufungaji
wa nyama katika mifuko tayari kwa kuuzwa kwa wateja kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha Nyama cha Saafi, Dkt. Engelbert
Bilashoboka, wakati alipotembelelea Kiwanda hicho cha Mtazania Mzawa, Dkt.
Mzindakaya, kilichopo Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na
Rukwa jana Februari 22, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu vipimo vinavyotumika
kabla ya Ng’ombe kuchinjwa kutoka kwa
Meneja wa Kiwanda cha Nyama cha Saafi,
Dkt. Engelbert Bilashoboka, wakati alipotembelelea Kiwanda hicho cha Mtazania
Mzawa, Dkt. Mzindakaya, kilichopo Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa
wa Katavi na Rukwa jana Februari 22, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu uchinjaji wa
Ng’ombe na matayarisho yake hadi kufikia nyama kamili kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha Nyama cha Saafi, Dkt. Engelbert
Bilashoboka, wakati alipotembelelea Kiwanda hicho cha Mtazania Mzawa, Dkt.
Mzindakaya, kilichopo Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na
Rukwa jana Februari 22, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)