MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA MRADI WA MTO MKUJU-MADINI YA URANI WA MANTRA TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA MRADI WA MTO MKUJU-MADINI YA URANI WA MANTRA TANZANIA

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13584a7e341a564c&attid=0.1&disp=inline&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1329370722603&sads=QZL8qSMo0xwqat2X0wBrmq0D7dY
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Usalama Kazini, Nassor Abdallah, kuhusu vifaa vya usalama kazini vinavyotumika na wafanyakazi wa migodini wanapokuwa kazini, wakati Makamu akiwa kazitika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana Februari 15, alipotembelea mradi wa Mto Mkuju unaojiandaa na uchimbaji wa madini ya Urani kupitia kampuni yake ya Manta Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13584a7e341a564c&attid=0.2&disp=inline&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1329370775314&sads=xLvHvJMrxnTXbY_bHizOjWjibwM 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mjiologia Mkuu wa Kampuni ya Mantra Tanzania, Emmanuel Nyamusika kuhusu utafiti wa upatikanaji wa madini ya Urani, wakati Makamu akiwa kazitika
ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana Februari 15, alipotembelea mradi wa Mto Mkuju unaojiandaa na uchimbaji wa madini ya Urani kupitia kampuni yake ya Manta Tanzania
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=13584a7e341a564c&attid=0.4&disp=inline&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1329370827520&sads=xY7rLr9nQJYNh5G4HACny2LsYS4 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammeed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Mbuzi kutoka kwa Wzee wa Kijiji cha Likuyu Sekamaganga, baada a kumaliza mkutano wa hadhara wakatia akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa ruvuma jana Februari 15, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages