Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91) anayesumbuliwa na maradhi, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Kijiji cha
Mhekela Wilaya ya Mbinga.Katikati ni Mke wa Makamu Mama asha Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu
Mke wa Makamu Mama Asha Bilal akimsalimia mwasisi huyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91) anayesumbuliwa na maradhi, wakati alipomtembelea kumjulia hali
nyumbani kwake Kijiji cha
Mhekela Wilaya ya Mbinga

Mhekela Wilaya ya Mbinga.Picha Na Muhidin Sufiani
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)