MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AANZA ZIARA YAKE YA MKOA WA PWANI WILAYANI RUFIJI KWA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AANZA ZIARA YAKE YA MKOA WA PWANI WILAYANI RUFIJI KWA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asli ya kabila la Kisukuma, wakati wa makaribisho yake alipowasili mji mdogo wa Utete Makao Makuu ya Wilaya ya Rufiji kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Januari 01, 2012

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi wakati alipofika kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba 14 za Watumishi eneo la Lugongwe, Utete Wilaya ya Rufiji leo Januari 01, 2012, alipoanza ziara yake ya Mkoa wa Pwani. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Nyumba 14 za watumishi, zinazoendelea kujengwa eneo la Lugongwe, Utete Wilaya ya Rufiji, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Januari 01, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages