Makamu wa
Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif
Hamad akinywa chai iliyotiwa viungo vilivyotengenezwa na wajasiriamali
wa kikundi cha Mkuaji, Mtoni, Zanzibar. Maalim Seif alifanya hivyo baada
ya kuzindua kikundi cha wajasiriamali hao wanaotengeneza bidhaa
mbalimbali. (Picha na Mpigapicha Maalum).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)