Lile Kongamano la Wazee Kuhusu Kufutiwa kwa Mitihani Watoto Wao Zanzibar Lafanyika - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Lile Kongamano la Wazee Kuhusu Kufutiwa kwa Mitihani Watoto Wao Zanzibar Lafanyika

Muwezeshaji wa Kongamano la kujadili Wanafunzi waliofutiwa mitihani yao ya kidatu cha Nne Zanzibar, Ali Saleh, akitowa changamoto kuhusu mjadala wa kujadili kitendo hicho. 
Mzezi wa mmoja wa Mwanafunzi alefutiwa mitihani Mzee Ali Hassan, akitowa maelezo katika kongamano hilo kuhusu mtoto wake, ambaye alikuwa akifanya vizuri tangu  msingi na katika mitihani ya majaribio amefanya vizuri na kupata nafasi za juu.
Wazee wakimsikiliza Muwezeshaji Ali Saleh, akitowa mada kuhusu mkutono huo wa Kongamano hilo.Picha na Othman Maulid-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages