Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge baada ya kuahirisha Kikao cha kwanza cha Mkutano wa Sita wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza mara baada ya kuahirishwa kwa kikao cha kwanza cha Mkutao wa sita wa Bunge mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Anne Makinda akisalimiana na Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma mara baada ya kuahirishwa kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa sita wa Bunge mjini humo
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Kigoma Kusini, Davida Kafulila mara baada ya kuahirishwa kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Sita wa Bunge mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)