Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akitoa Maelezo kuhusu Ukuta
wa Ukingo wa Bahari ya Pangani wakati wa Ziara yake jana aliyoifanya
huko Pangani kufuatia Maagizo ya Makamu wa Rais Dkt Muhammed Gharib
Bilali alipofanya ziara hivi karibuni Mkoa wa Tanga
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)