Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akiongea
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuazimisha
siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo
walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni
zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi
asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akizindua
msafara wa magari wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo
ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja
kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la
utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda
wa hewani kupitia m-pesa.Kushoto Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa
kampuni hiyo Mwamvita Makamba.
Msafara wa magari ya Vodacom
Tanzania ukipita katika barabara ya Morogoro maeneo ya Manzese jijini
Dar es Salaam yakiwabeba wafanyakazi wa kampuni hiyo leo wakati wa
kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni
hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na
promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na
bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania akibandika tangazo linaonyesha huduma za m-pesa wakati wa
kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni
hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na
promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na
bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa katika mitaa ya Mbagala
jijini Dare s Salaam wakitembea kwenda kuwaelimisha wateja wao wakati wa
kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni
hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na
promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na
bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania wakibandika matangazo katika moja ya kibanda cha duka Mbagala
Zakiemu yakionyesha huduma za m-pesa wakati wafanyakazi hao walipokuwa
wakiazimisha siku ya wateja ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda
mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni
zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi
asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)