JK akutana na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu, KUrejea Dar Jumanne Usiku - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK akutana na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu, KUrejea Dar Jumanne Usiku


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko,  aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages