Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande Amwapisha Hakimu Mkazi,Katika Mahakama Ya Rufani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande Amwapisha Hakimu Mkazi,Katika Mahakama Ya Rufani

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akimuapisha Mhe. Musa Francis Esanju kuwa Hakimu Mkazi, katika Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam, anayeshuhudia (katikati) ni Mhe. Francis Mutungi, Msajili Mahakama ya Rufani Tanzania
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande(katikati),Jaji Kiongozi,Mhe. Fakih Jundu (Kushoto) na Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Francis Mutungi (kulia)wakiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Mahakimu waliokabidhiwa hati ya uteuzi na kuapishwa.Mhe amewaasa kuwa na maadili na kazi yao na kutoa haki sawa kwa wote na kwa wakati.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages