Gardner G Habash akitoa shukrani kwa GS1 Tanzania kwa jambo hilo jema kwenye hafla fupi iliofanyika mapema leo asubuhi
Mfano wa cover ya CD ya Lady JayDee itakayo uzwa ikiwa na Barcode
Mwakilishi wa Mwanamuziki Lady Jaydee/Manager Wake na Mumewe Gadner G Habash akikabidhiwa barcode na Mkurugenzi wa TSPF
Staff wa GS1 na Captain G Habash wakionesha sampuli ya barcode ya LadyJayDee.Picha na Habari na Lady Jaydee
----
Barcode
ni kitambulisho rasmi cha kimataifa cha bidhaa mbalimbali. Ina
muonekano wa mistari mistari na nambari chini ya mistari hiyo ni mfumo
unaotumika dunia nzima kuitambua bidhaa kwa jina na bei na hali
kadhalika kwa idadi.
Barani Africa ni nchi tatu tu zinazotumia mfumo huo ambazo ni South
africa, Kenya na sasa Tanzania inao mfumo huu ukisimamiwa na GS1
Tanzania
Lady JayDee ni masanii wa kwanza tanzania kumiliki barcode yake. Jide
ataitumia barcode hii kwa mauzo ya CD Albam yake ya tano iitwayo Ya 5
The Best of Lady JayDee ambayo ilisitishwa kutoka kwa muda uliopangwa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)