Katikati
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Compact Media Company, Eliya Mjatt Timu
meneja wa timu ya wanamziki wa dansi, Mwijuma Muhumini 'Kocha wa Dunia'
(kushoto) wakizungumza na wahandishi wa habari, Dar es salaam leo kuhusu
mechi yao ya hisani na wachekeshaji na waigizaji 'Bongo Movies' kwa
ajili ya kuchangia waathilika wa mafuriko, utakaofanyika jumapili katika
uwanja wa taifa kulia ni Kocha mchezaji wa timu ya 'Bongo Movies' Chiki
Mchoma
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)