Balozi Mpya Wa Tanzania Nchini Ubelgiji,Dk.Diodorus Kamala Amuaga Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi Mpya Wa Tanzania Nchini Ubelgiji,Dk.Diodorus Kamala Amuaga Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kushoto)akimsindikiza Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk Diodorus Kamala(kulia)aliyemtembelea na kumuaga,Dk Kamala amewahi kuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kulia) akiagana naBalozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk Diodorus Kamala(kushoto)aliyemtembelea ili kumuaga,Dk Kamala amewahi kuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk.Diodorus Kamala(kushoto)akiongea na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera alipoenda kumuaga,Dk Kamala alikuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.Picha na Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages