
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimpaka mafuta matakatifu mgonjwa katika Misa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam jana. Wagonjwa zaidi ya 100 kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Mifupa ya Moi na Ocean Road walishiriki misa hiyo.Picha na Gloria Tesha





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)