Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) na Naibu Waziri wa Fedha Gregory Theu (kulia) pamoja na mabalozi wakimsikiliza waziri Mkuu Mizengo Pinda(hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa tatu wa mazungumzo ya mwaka kuhusu sera ya Taifa. Mkutano huo wa siku mbili unafanyanyika katikaHoteli ya Ubungo plaza jijini Dar es Salaam unahudhuriwa na wadau mbalimbali wa maendeleo.Picha na Anna Nkinda - Maelezo
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)