WAZIRI NGELEJA AFANYA ZIARA WILAYANI BIHARAMULO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI NGELEJA AFANYA ZIARA WILAYANI BIHARAMULO


Ngereja akiwa kwenye daraja linaloziunganisha nchi za Tanzania na Rwanda eneo ambalo kuna maporomoko ya Rusumo, kushoto kwa Ngereja ni Mwandishi wa habari Audax Mutiganzi
Baadhi ya waandishi wa habari waliombatana na Waziri wa Nishati na madini, William Ngereja kwenye ziara aliyoifanya mkoani Kagera wakiwa na katika picha na waziri huyo ndani ya mgodi wa Tulawaka, wa kwanza toka kushoto ni Theonestina Juma wa mwandishi wa gazeti la majira, Phinias Bashaya wa Mwananchi, Audax Mutiganzi wa Mtanzania na The Afruican pia mmiliki wa Tovuti hii, anayefuata toka kwa Ngereja ni Antidius Kalunde wa Tanzania Daima Na angela Sebastian wa Mzalendo/uhuru. 
Ngereja akitoa maelekezo kwa watendaji wa mgodi wa Tulawaka unaomilikiwa na Barrick, alikuwa akiwa kwenye machimbo.
 
Waziri Ngereja akiwa wenye mgodi wa Kabanga Nickel uliko wilayani Biharamulo alikuwa akionyeshwa eneo la machimbo na meneja mkuu wa mgodi huo Kevin Olshefsk.
Sehemu ya machimbo ya mgidi wa Tulawaka uliko wilayani Biharamulo uliotembelewa na Waziri Ngereja.
 
Waziri Ngereja akipewa akipewa maelezo ya mradi wa umeme vijijini, alipotembelea mradi huo unaotekelezwa katika wilaya ya Bukoba vijijini, mkoani Kagera, kushoto ni Justina Uisso ofosa wa wakala wanaosimamia utekelezaji wa umeme vijijini..Picha Zote na Audax Mutiganzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages