WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA SHEIKH MKUU MUFTI SHABAN BIN SIMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA SHEIKH MKUU MUFTI SHABAN BIN SIMBA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Sheikh  Mkuu wa Tanzania,  Mufti  Shaban Bin Simba Ofisini kwake jijini Dar es Salaam Januari  18, 2012. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages