Wananchi
wakishuka kutoka kwenye kivuko cha mv Magogoni jijini Dar es Salaam.
Serikali Januari mosi ilipandisha nauli katika kivuko hicho kutoka Sh
100 hadi 200/-. Kwa muda wa miaka 14 iliyopita kivuko cha Kigamboni
kimekuwa kikitoza nauli ya Sh 100 kwa mtu mzima. (Picha na Mohamed
Mambo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)