Wananchi wakishuhudia maji
Mradi wa maji uliogharimu 40mil
Umati uliojitokeza kwenye uzinduzi
Katibu wa mkoa,pamoja na mwenyekiti aliyerudisha kadi akiingalia ya CHADEMA kwa umakini
CHADEMA mkoa wa Arusha jana ilizindua mradi wa maji,uliogharimu 40mil,fedha kutoka kwa wananchi na CHADEMA.Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa,pamoja na Mwenyekiti wa BAVICHA mkoa Nanyaro ambaye pia ni diwani wa Levolosi, katika kijiji cha Ng'iresi kata ya Oltroto Arumeru magharibi.Mradi huu ni jitihada za chama pamoja na wananchi hao ambao wapo jirani na vyanzo vingi vya maji lakini bado wanateseka na kutokuwa na huduma hiyo ya maji Baada ya uzinduzi huo ndipo wananchi wananchama wa ccm waliporudisha kadi zao,na kujiunga na CHADEMA,zaidi ya wananchccm 960 walijunga na CHADEMA,wakiongozwa na mwenyekiti wa kijiji,pamoja na vitongoji vyote vinne
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)