Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya
BG Group, Ofisini kwake jijini Dar es salam Januari 10, 2012. Kutoka
kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mkuu, Martin Houston,Makamu
wa Rais wa Kanda ya Afrika, na Asia Kusini, Sam Iskander na Meneja wa Tanzania, Matt Wilks.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)