
HUYU
DADA ALIPITIA DIRISHANI BAADA YA KUVUNJWA KIOO ILI ABIRIA WAPATE
NAFASI YA KUTOKA KTK BASI HILO KWANI INGEWEZA KUTOA DHAHAMA NYINGINE YA
HITILAFU YA UMEME NA BASI KUAKA MOTO.

HAPA
BAADHI YA ABIRIA KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST WAKITOKA KWA MBELE
YA KIO HICHO IKIWA NJIAMOJAWAPO YA KUJINUSURU BAADA YA BASI HILO
KUPATA AJALI.

Basi
la abiria la kampuni ya Taqwa linalofanya safari zake kati ya
Dar-Kigali nchini Rwanda limeanguka katika eneo la Mikese, Morogoro
wakati likiwa njiani kuja jijini Dar na kujeruhi watu kadhaa
waliokuwepo kwenye basi hilo.Chanzo cha ajali ni lori la mizigo
lililokuwa limeegeshwa barabarani kutokana na ubovu, pia mwendokasi wa
mabasi,kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo.wakati huo huo Basi la
Morobesti limenusurika kuanguka japo liliacha njia kutokana na chanzo
hicho hicho cha Lori lililoharikiba na kusimama barabarani.

WASAMARIA
WEMA WAKIMTOA MMOJA WA ABIRIA KATIKA AJALI HIYO KWENYE TUNDU LA
KUINGIZIA HEWA NDANI YA BASI HILO AMBAZO KUNA SEHEMU MBILI TU.

HAPA
WASAMALIA WEMA WAKIMTOA BIBI NDANI LA BASI HILO LA MORO BEST BAADA YA
KUTOKEA AJALI YA KUACHA NJIA NA KUPUNDUKA ENEO HILO LA NERO MIKESE
MOROGORO



BAADA YA KUTOKEA AJALI HEKA HEKA ZA KUJIOKOA NA KUOKOA ZILIKUWA HIVI.PICHA ZOTE KUTOKA ENEO LA TUKIO NA MDAU MTANDA






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)