Sheria Ngowi,Mange Kimambi na Wadau Mbalimbali Watoa Misaada Kwa Watoto Wanaosumbuliwa na Saratani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Sheria Ngowi,Mange Kimambi na Wadau Mbalimbali Watoa Misaada Kwa Watoto Wanaosumbuliwa na Saratani

 
Mbunifu wa Kimataifa Sheria Ngowi akigawa Maji Kwa Wagonjwa Wa saratani
 Sheria Ngowi akimsikiliza kwa Makini Mange Kimambo akitoa Maelezo juu ya Mtoto anaesumbuliwa  na kansa ya taya
 Sheria Ngowi akimjulia Hali Mtoto anaesumbuliwa na Saratani ya tumbo
 Dk Mwele Malecela akifurahia jambo na mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho
 Kiki Akicheza na mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho
Rubani Hilda Ringo Nae Alikuwepo
Mama Mzazi wa  Mtoto anaesumbuliwa na saratani ya jicho akieleza Kwa Makini Jinsi Ugonjwa huo unavyomsumbua mwanae
 Dk Mwele Malecela akipanga zawadi mbalimbali muda mfupi kabla ya kuanza kuzigawa kwa watoto wenye matatizo ya saratani jijini Dar es salaam
 Mama Mzazi akiwa na Mtoto wake anaesumbuliwana saratani muda mfupi baada wadau mbalimbali kutembelea hospitali ya taifa ya muhimbili na kutoa zawadi mbalimbali.
Kwa picha na Maelezo zaidi BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages