Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na wananchi katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la
msingi Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja,Iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia,ikiwakilisha skuli
nyengine saba,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Mwalimu
Mkuu wa Skuli ya Mpapa wilaya ya Kati,Abdalla khamis Abdalla,akisoma
risala wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi skuli ya sekondari
ya Uzini Mkoa wa Kusini Unguja,iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya
Dunia,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi
matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya
Sekondari ya Uzini Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Iliyojengwa kwa
ufadhili wa Benki ya Dunia,ikiwakilisha skuli nyengine saba,sambamba na
maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Rais Dk Shein akizungushwa katika maeneo ya skuli hiyo ya sekondari wakati alipokuwa katika skuli hiyo.
Baadhi
ya Viongozi wa vyama na Serikali waliohudhuria katika sherehe za
uwekaji wa jiwem la msingi Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya Kati
Mkoa wa Kusini Unguja,Iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya
Dunia,ikiwakilisha skuli nyengine saba,sambamba na maadhimisho ya
sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Wanafunzi
wa Skuli ya Uzini Msingi wakiwa katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la
Msingi Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja,Iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia,ikiwakilisha skuli
nyengine saba,sambamba na maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.Picha na Ramadhan othman IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)