Rais
Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo
January 17, 2012. Kushoto yake ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali Bw Ludovick Utouh na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel
Bendera
Rais
Jakaya Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali Bw Ludovick Utouh katika hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la
Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini
Morogoro leo January 17, 2012. wengine ni Waziri wa Katiba Mh Celina
Kombani (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera na
mkuu wa Wilaya ya Morogoro.
Rais
Jakaya Kikwete akielekea kupanda mti baada ya kuzindua jengo jipya la
Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini
Morogoro leo January 17, 2012. Pamoja naye ni Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)