Polisi wakiwakamata vijana waliofanya fujo wakati wa mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro Halima Dendego(hayupo pichani)katika Kijiji cha Msowero, baada ya wananchi wa Vijiji vya Mambegwa na Msowero kufunga Barabara ya Kilosa- Dumila kwa magogo na mawe wakishinikiza kusikilizwa madai yao ya migogoro ya mipaka ya vijiji vya wafugaji na wakulima juzi.Picha na John nditi
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)