Ambulance iliyobeba mwili wa marehemu Mbunge wa Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema ikiwasili Ifakara Usiku wa Kuamkia leo
Misa
Maalum ya mazishi ya Kumwombea Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum Chadema
Marehemu Regia Mtema ikiendelea Ifakara Morogoro Leo mchana Muda mfupi
kabla ya Mazishi
Naibu Spika Job Ngugai(Kushoto)na Mwenyekiti wa CHADEMA,Kiongozi wa
Kambi ya Upinzania na Mbunge wa Hai Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa
Zitto Kabwe wakifwatilia kwa Makini Misaa Maalum ya Mazishi ya Aliyekua
Mbunge wa Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema Ifakara Leo Hii
Sehemu
ya Umati Mkubwa wa Waombolezaji wakifwatilia kwa Ukaribu Misa Maalum Ya
Mazishi Ya Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema
Ifakara Morogoro Leo.Picha Zote na Mdau Ally Ulanga
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)