MRADI WA WANANCHI GEREZANI KIBASILA NI MFANO MZURI WA KUIGWA WA KUJIKOMBOA KIUCHUMI
KIBASILA ESTATES PUBLIC LTD CO.
Email-Infor@Kibasila.Co.tz
Email-Infor@Kibasila.Co.tz
Web.www.Kibasila.co.tz (under construction)
10-01-2012
MRADI WA WANANCHI GEREZANI KIBASILA NI MFANO MZURI WA KUIGWA WA
KUJIKOMBOA KIUCHUMI.
1. UTANGULIZI
Kibasila Estate Public limited company (KEPLC) ni kampuni inayomilikiwa na Wananchi wa kawaida wanaoishi kwenye nyumba 106 walizouziwa na Serikali kwa Mikataba Maalum ya mtu mmoja mmoja kupitia wakala wa majengo Tanzania (TBA), chini ya Wizara ya Miundombinu tokea mwaka 2004. Nyumba hizo zipo katika eneo maarufu liitwalo SHULE YA UHURU, katika makutano ya barabara ya Msimbazi/Lindi, Kata ya Gerezani, wilaya ya Ilala jijini Dar-Es-salaam.Mara tu baada yakuuziwa na kupata mikataba yao, wananchi hawa waliamua kujiunga pamoja kwa mtindo wa kuhamasishana na kunadi wazo la kuunda Ushirika yaani Kibasila Housing Cooperative Society,waiombe
serikali iwamilikishe eneo lao kwa pamoja, ili wapate urahisi wa kukopesheka na hatimaye kuzijenga upya nyumba zao, waweze kuishi katika nyumba bora zenye thamani wanayostahili na kukidhi viwango vya mipango miji.
Wananchi hao walihamasishana kwa kufanya vikao vingi vya kuelimishana na hatimaye waliiitisha mkutano mkubwa uliokuwa na malengo yafuatayo:-
o Kuchagua viongozi wa kujitolea ili wafanye kazi kwa niaba ya wakazi
o Kupanga malengo na mikakati ya kufikia malengo hayo.
o Kujadili njia za kupata fedha za kuiwezesha kamati, kama vile usafiri,uchapishaji,semina za elimu ya mradi n.k
Hatimaye,viongozi 15 walichaguliwa rasmi na kupewa jina la kamati ya kuendeleza makazi.
2. KAZI ZA KAMATI YA KUENDELEZA MAKAZI
Kamati ya wanachi hao ilifanya kazi nyingi sana kwa niaba ya wananchi wanao waongoza:-
· Wamechagua viongozi wa kamati yao na kupata mwenyekiti, katibu na mweka fedha.
· Wametengeneza malengo ya mradi wao yaeleweke vizuri serikalini na kwa wanachi kwa ujumla.
· Wamepanga mikakati mizuri ya kufikia malengo yao.
· Wamekuwa wasimamizi wazuri wa mali zao
· Kusimamia usuluhishi katika matatizo mbalimbali ya makazi yao
· Kusimamia haki mara walipoona dhulma inayoashiria kutendeka.
· Wamesimamia uundwaji wa kampuni yao baada ya kufanyiwa hujuma za kushindwa kuundwa ushirika (Housing cooperative society)
· Wamesimamia kuunda kwa bodi ya wakurugenzi
· Wamesimamia na kupata wataalamu hodari waliowaajiri.Wachumi, wanasheria, Architects na karani mkuu. Wameshirikiana bega Kwa began a wataalamu waliowaajiri, katika kuboresha mambo yao na kutatua matatizo kila yalipojitokeza hadi kufikia 2008 strartegic plan, business plan na michoro yote ikawa imekamilika.
· Kuandaa semina elekezi kwa wakazi kujua haki zao na uwekezaji bora.

· Kamati ya Wananchi ilifanya mawasiliano ya maandishi
katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya yenye kumb GRN/010/4 yenye kichwa cha
habari "UTAMBULISHO WA MRADI WA MAENDELEO YA WANANCHI KWA UJENZI WA
NYUMBA BORA ZA KUISHI NA VITEGA UCHUMI"
· Wanakamati hao walifanya ziara hadi Ikulu kwa nia ya
usuluhishi, na kukutana na katibu wa mhe rais.-katibu wa ikulu
aliwaunga mkono wananchi hao.
· Kuandaa ziara kwenda kuonana na viongozi ana kwa ana kwa
madhumuni ya kupata ushauri, mfano:- mhe Abas Kandoro,akiwa mkuu wa
mkoa alitushauri kuunda ushirika kama chombo bora zaidi.Pia kamati
ilifika Dodoma kumuona mhe.Pinda akiwa waziri wa TAMISEMI,kuomba
upatanishi,wakati viongozi wa mradi wa DART walipowavamia na kutaka
kupora eneo lao.Aliyoamuru mhe.Pinda hayakufanyiwa kazi.
· Kamati ilifanya mawasiliano ya barua kwa Mh. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 30.04.2007 kumpa malalamiko ya
wakazi wa Gerezani na kumuomba awaachie eneo lao ili wafanye mradi
wao. Kamati walitumia nafasi hii pia kumpa kumbukumbu zote za
vielelezo vya mawasiliano waliyofanya na viongozi wa Serikali ili
kutoa uamuzi sahihi
· Wameandika barua takriban thelathini za aina mbalimbali,
kwa mfano:-
(a) Barua ya Maombi ya kumilikishwa ardhi yao kwa pamoja, ili waweze kukopesheka, kwenda kwa wazara wa miundombinu. GRZN/TRC & THA/ MAENDELEO/3/2006.Nakala zilipelekwa wizara zote

(b) Barua ya Maombi ya kusajiliwa Kama Kibasila Housing cooperative society, kwenda kwa afisa ushirika wa manispaa ya Ilala. Kumb na. GRZN/TRC & THA/MAENDELEO/6/2006.
(c) Barua ya maombi kwa wakala wa majengo Tanzania yenye kichwa cha habari KUBORESHA MAKAZI YETU KWA KUJENGA NYUMBA KWA MTINDO WA MAGHOROFA ILI KUJIPATIA MAKAZI BORA NA KUJIONDOLEA UMASKINI.
Kumb na.GRZN/TRC&THA/MAENDELEO/2/2006.Walijibiwa, na mkurugenzi wa TBA, alimpelekea afisa ushirika orodha ya wakazi waliouziwa nyumba ili aharakishe kuwasajili.
(d) Barua za maombi ya fedha za mradi, Kwa taasisi za fedha kwa mfano UNDP HABITAT.
(e) Barua za mawasiliano kwa viongozi mbalimbali kwa mambo yanayojitokeza.
(f) Barua ya tarehe 02.1.2007 ilikumbushia maombi yao ya awali kwa TBA, na kupata majibu tarehe 10.1.2007 kwamba wameruhusiwa kusajiliwa na kuendelea na mradi wao.
Baada ya wananchi hao kuruhusiwa na TBA kuutekeleza mradi wao, wananchi hao walifuatilia kwa makini usajili wa ushirika bila mafanikio.Walimuomba wakala wa majengo amthibitishie afisa ushirika kuwa amewauzia nyumba na pia wameruhusiwa kuzijenga upya nyumba zao.
(uthibitisho huo ni moja ya mashart ya afisa ushirika kwa wakazi hao). Wakala wa majengo alimthibitishia afisa ushirika kwa barua yenye kumb na. GC: 114/228/01/197, akiwa ameorodhesha majina ya wakazi wote ili wasajiliwe katika ushirika waliouomba.

KUENDELEA KUSIOMA BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)