Makamu
wa Rais Dkt, Mohammed Gharib Bilal, Waziri mkuu, Mizengo Pinda na
makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakitoka kwenye
ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl- Ubungo Plaza jijini Dar es salaam
Januari 28, 2012 kuhudhuria kakao cha kujadili Muungano
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha kujadili maandalizi ya sensa
kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Januari 28, 2012.
Wanne kulia ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)