Mkazi wa
Lugala, kata ya Igawa, tarafa ya Malinyi, Ulanga, mkoani Morogoro,
Elizabeth Kasukari akiwaomba Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Mazingira), Dk. Theresia Huvisa na Waziri wa Maliasili na Utalii,
Ezekiel Maige (hawapo pichani) wasiondolewe bonde la Kilombero msimu
huu. (Picha na John Nditi).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)