MATUMIZI SAHIHI YA ALAMA ZA BARABARANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MATUMIZI SAHIHI YA ALAMA ZA BARABARANI

Wafanyakazi Wakifanya usafi huku matumizi sahihi ya alama za barabarani zikifuatwa kikamilifu kama walivyonaswa na Kamera yetu katika barabara ya Dar Es Salaam kwenda Morogoro Mkoani Dodoma leo.Matumizi sahihi usaidia kutoa ishara kwa madereva kuwa mbele kuna kitu kinaendelea na vilevile husaidia kuepusha ajali pia.
Mwanamke ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa katika kufanya usafi barabara ya dar kwenda morogoro karibu na standi ya daladala ya jamatini huku kifaa cha kuashiria kuwa yupo kazini kikiwa pembeni yake kama alivyonaswa na kamera yetu leo mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages