MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA ABORT FUND IKULU DSM LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA ABORT FUND IKULU DSM LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dkt. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Januari 18, 2012, kwa ajili ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages