Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania
nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini
kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo Januari 19, 2012, kwa ajili ya
kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini Kenya baada ya uteuzi wake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, wakati Balozi huyo
alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo Januari 19, 2012,
kwa ajili ya kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini Kenya baada ya
uteuzi wake. Picha na Muhidin Sufiani-OMR





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)