Keki
zilizokuwepo wakati wa hafla ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa mdau
rachel Sinbard hafla fupi iliyofanyika chumbani kwake hapo jana.Keki ya
Kushoto ililetwa na Rafiki zake anaoishi nao Chumbani(Roommates) na keki
ya Kulia ililetwa na Shemeji yake Aitwaye Angaza Nkurlu
Mdau Rachel Sinbard Akiwa Makini Kusikiliza Nyimbo alizokua Akiimbiwa za Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwake hapo Jana.
Mdau Rachel Akikata Keki tayari kuwalisha Wageni wateule katika hafla hiyo fupi iliyofanyika katika Chumba anachoishi chuo.
Zoezi
la Kuanza Kuwalisha wageni wateule lilipokaribia. Mdau Rachel akiwa
tayari kuwalisha wageni wateule katika hafla fupi ya kumbukumbu ya
kuzaliwa kwake hapo jana
Rachel Akimlisha Mmoja wa roommate wake Caritas Majani wakati wa hafla yake ya Kumbukumbu ya kuzaliwa kwake hapo jana
Mtayarishaji
na Muandaaji wa Blogu ya Lukaza Josephat Lukaza nikilishwa Keki na Mdau
Rachel Sinbard Katika Hafla Ya kumbukumbu ya Kuzaliwa Kwake
iliyofanyika Chumbani kwake na kuhudhuriwa na Wageni wateule tu.
Rachel
Sinbard Akimlisha keki shemeji yake Angaza Nkurlu wakati wa hafla fupi
ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa hapo iliyofanyika chumbani kwake na
kuhudhuriwa na wageni wateule
Mmoja
wa marafiki wa Rachel akilishwa keki katika hafla fupi ya kumbukumbu ya
kuzaliwa kwake hapo jana iliyofanyika katika chumba chake na
kuhudhuriwa na wageni wateule
Angaza
Nkurlu akimlisha Keki Shemeji yake wakati wa Hafla fupi ya kumbukumbu
ya kuzaliwa kwake iliyofanyika chumbani kwake na kuhudhuriwa na wageni
wateule.
Rachel
Sinbard Akitoa Shukrani kwa wageni wateule waliohudhuria hafla fupi ya
kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, hafla iliyofanyika chumbani kwake ndani ya
Chuo Kikuu cha Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)