Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese Argentina, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, pamoja mambo mengine, Hamad ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alitetea uamuzi wa chama chake kuwatimua wanachama wake wanne, akiwamo Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid Mohammed. (Picha na Mohammed Mambo).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages