JE WAUJUA MTAMBO WA KUTENGENEZEA GONGO ?TAZAMA HAPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JE WAUJUA MTAMBO WA KUTENGENEZEA GONGO ?TAZAMA HAPO

Huu si mzinga wa nyuki!! bali ni mtambo maalum wa kutengenezea pombe ya Moshi ama kama ijulikanavyo na watanzania wengi Gongo na maeneo mengine "Supu ya mawe". Utengenezaji wa pombe hii ni kosa kisheria nchini lakini watu bado wanaendelea kutengeneza pombe hiyoambalo ukali wake huleta madhara kwa afya ya mtumiaji. Ila ona utalaam huo uliotumika kuandaa chungu hicho cha kupikia na kupozea. Halafu mnasema watanzania hawajasoma.Picha Na Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages