Kalama Nyilawila akijifua
Kalama Nyilawila akijifua katika GYM ya Sinza Makaburi
Msimamizi
wa Mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo sinza makaburini, Bernald
Lumbila (kushoto) akimwelekezai bondia Kalama Nyilawila jinsi ya kupiga
ngumi katika mbavu Dar es saam Nyilawila anajiandaa na mpambano wake
dhidi ya Fransic Cheka januar 28
Bernald
Lumbila Kushoto akifanya mazoezi ya pamboja na bondia Kalama Nyilawila
Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka januar
28.Picha na Habari na Mdau SuperD
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)