AIRTEL MWANZA WAKABIDHI MSAADA WA BAISKELI WILAYANI MISUNGWI JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AIRTEL MWANZA WAKABIDHI MSAADA WA BAISKELI WILAYANI MISUNGWI JANA

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia ambaye ni Mbunge wa Misungwi Mh.Charles kitwanga nae akitoa shukurani

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila
"Kwa niaba ya watu wangu wa Misungwi - Tunawashukuru sana Airtel tukiwasihi ushirikiano usiishie hapa, uendelee kwani bado kuna mahitaji mengi na makampuni mengine yaige mfano huu"
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila (C) akimkabidhi baiskeli Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Kijima, Dr. Marwa Mwita huku akishuhudiwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Taknolojia, Mbunge wa wilaya ya Misungwi Mh. Charles Kitwanga almaarufu 'Mawe Matatu'.
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila akimkabidhi baiskeli Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Igongwa.

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila (C) akimkabidhi baiskeli Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Mwagiligi kilichopo wilayani humo huku akishuhudiwa na Meneja Biashara wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Airtel bw. Ally Maswanya (R).
Msaada huu wa Baiskeli utawasaidia waganga wakuu wa vituo vya tiba wa vijiji 10 kukabiliana na tatizo la usafiri.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages