26 ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL WILAYA YA MUHEZA – TANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

26 ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL WILAYA YA MUHEZA – TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Ghari Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Muheza, alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kupokea taarifa ya utendaji kabla ya kuanza kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo akiwa katika ziara yake Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari ya Seminari ya Living Stone,Jana Januari 25, 2012, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Muheza waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi ya CCM wakimtaka kuzungumza nao baada ya kupokea taarifa ya utendaji kutoka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya hiyo, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga Jana Januari 25, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wakati alipotembelea Msitu wa asili wa Hifadhi wa Amani, akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga,Jana Januari 25, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari ya Seminari ya Living Stone,Jana Januari 25, 2012, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wananfunzi wa Kidato cha kwanza wa shule ya Sekondari Seminari Living Stone, baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika shule hiyo akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga Jana,Januari 25, 2012.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages