Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi Joyce Mapunjo na Naibu wake
Dkt Shaaban Mwinjaka, wakimpokea Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda kutembelea
Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara katika siku ya mwisho ya
Maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Uhuru Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Viwanda katika Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Eline Sikazwe akimueleza Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda mafanikio mbali mbali yaliyofikiwa katika Idara yake.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi Joyce Mapunjo akimpa maelezo
Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda juu ya hatua mbali mbali za mafanikio
zilizofikiwa na Wizara yake kwa kipindi cha miaka 50 ya Uhuru.
Piki
piki ya miguu mitatu (Bajaj) iliyoongezewa ubunifu na kuifanya iweze
kutoa huduma ya kusafirisha wagonjwa. Pichani ni mbunifu wa “Ambulance”
hiyo Bwana Ally Dahally akionesha ubunifu wake.
Picha
ya pamoja ya Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi
zilizo chini yake mara baada ya kufungwa kwa maonesho ya miaka 50 ya
katika Viwanja vya Mwl J.K.Nyerere. Banda la Wizara ya Viwanda na
Biashara limekuwa kivutio kikubwa kwa wageni kutokana na maandalizi
mazuri na bidhaa mbali mbali zinazozalishwa na Viwanda vya Tanzania
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)