Baadhi
ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu JOHN kilichopo Buguruni Malapa
jijini Dar es Salaam wameandamana hadi Ofisi za Bodi ya Mikopo
wakilalamika kutopatiwa pesa zao za mikopo tangu walipofungua chuo
mapema Oktoba mwaka huu.
Wakizungumza jijini Dar es Salaam, wanafunzi hao wamesema pamoja na kufika katika ofisi hizo kutoa malalamiko yao, uongozi wa bodi hiyo haukutoa ushirikiano unaotakiwa. Clouds Fm ilipotaka kupata ufafanuzi wa madai hayo, uongozi wa bodi ya mikopo haukuwa tayari kuzungumzia suala hilo.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)