Baby Tall

Chalz Akila pozi

Frank na Chalz Baba baada ya
kukagua ukumbi

Mzuka mnene

Maria na Baby Tall ndani ya mji wa
Milton Keynes

Full mzuka

Golden Lounge

Ndani Ya Golden Lounge

Twanga wakiwa na wadau wa Milton

wadau wa Milton wakiwa na Twanga
---
Salaam,
Ikiwa imebakia siku moja tu kabla ya show ya Milton Keynes Chalz Baba, Baby Tall na Maria walipata fursa ya kutembelea mji wa milton keynes kutembea na kusalimia wadau wa Milton. Twanga Pepeta wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa wadau wa Milton walioweza kuja kuwasalimia na kuwapa kampani ya nguvu ikiwepo vinywaji na Nyama Choma Bila kumsahau Diego, Shelukindo, Rob,Fadhil Dadia na Ima.

Twanga wataangusha show kali ya Pili katika
Ukumbi wa Golden Lounge Milton Keynes Tarehe 2 Desemba anuani ni Unit
35, Barton Road, Bletchley. Milton Keynes MK2 3LH.
Show hii Imeandaliwa na Urban Pulse Creative
na Miss Jestina Blog.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)