UCHAGUZI MKUU WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA/TANZANIA FILM FEDERATION-TAFF ULIOFANYIKA TAREHE 22/12.2011
---
1. Simon Mwakifwamba -Rais
2. Suleiman Ling’ande -Makamu
3. Wilson Makubi -Mjumbe
4. Mike Sangu -Mjumbe
5. Christian Kauzeni -Mjumbe
6. MakameBajomba -Mjumbe
7. Emmanuel Myamba -Mjumbe
8. DeosongaNjelekela -Mjumbe
9. John Kallaghe -Mjumbe
10. Ally Baucha -Mjumbe
11. Maureen Mvuoni -Mjumbe
12. MwanaharusiHela -Mjumbe
Kwa
mujibu waKatibaya TAFF ,nafasi ya Katibu na mweka hazina ni nafasi
ambazo zinateuliwa na Raisi washilikisho vivyo hivyo wajumbe wanatakiwa
wa we kumi na mbili ambapo kumi wanakuwa wakuchaguliwa kwa kula na
wawili wa kuteuliwa na Raisi wa TAFF
TAFF-Tanzania Film Federation nishirikisholenyemjumuishowavyamatisa(9),ambavyoni
1. TASA-Tanzania Scriptwriter Association
2. TCA-Tanzania Cameraperson Association
3. TDFAA-Tanzania Drama and Film Artist Association
4. TAFIDA-Tanzania Film Directors Association
5. TAFEA-Tanzania Film Editors Association
6. TALOMA-Tanzania Location Manager Association
7. TAFDA-Tanzania Film Distributor Association
8. TAFPA-Tanzania Film Producer Association
9. TAMPTA-Tanzania Motion Picture Teachers Association
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)