TBL YAPANDA MICHE 4000 YA MITI UWANJA WA SONGWE MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TBL YAPANDA MICHE 4000 YA MITI UWANJA WA SONGWE MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizindua kampeni ya kupanda miti katika eneo Uwanja mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. TBL ilitoa miche 4000 na kuipanda kwenye eneo hilo ikiwa ni mikakati yake ya kuboresha mazingira..
Wakazi wa Kijiji cha Ikumbi kinachouzunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, wakipanda miti katika eneo la uwanja huo,mwishoni mwa wiki. Miche hiyo imetolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ikiwa ni kampeni ya kutunza mazingira.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi akimwelekeza mtoto jinsi ya kupanda miti eneo la Uwanja mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. TBL ilitoa miche 4000 na kuipanda kwenye eneo hilo ikiwa ni mikakati yake ya kuboresha mazingira.
Mtoto akishiriki katika upandaji wa miti eneo la Uwanja mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. TBL ilitoa miche 4000 na kuipanda kwenye eneo hilo ikiwa ni mikakati yake ya kuboresha mazingira

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages